-
APPLY FOR ADMISSION FORMFOR THE YEAR 2025
UPATIKANAJI WA FOMU Dar Es Salaam: Msimbazi Centre Chumba Na. 5,19,22 Simu: 0754 265446, 0787316039, 0789887776 Dodoma: G5 Plaza Singida Bayi Road B-31 Simu: 0754265446 Mafinga Bookshop Sokoni Simu: 0762000047 Makambako – Makongo Stationary (Standi Ya Mabasi) Simu: 0757800020 Njombe – Bright Stationary Chaugingi Simu: 0754244585 Mbeya -Uhindini Mtaa Wa Acacia Simu: 0768174222 -
Date of Interview and Location
Tarehe za Kufanya Interview Jumamosi 14/09/2024 Vituo Dodoma – Dodoma Secondary Dar Es Salaam – Msimbazi Centre Mbeya: Akili Star Uyole Mitihani itaendelea katika vituo vya shule husika kwa tarehe tajwa hapo chini Jumatatu 16/09/2024 Jumamosi 21/09/2024 Jumamosi 28/09/2024