Sherehe ya Kumuaga Sister Beatrice Simon Kapinga, OSB kwa kuchaguliwa kuwa Mama Mkubwa wa Shirika la Masista wa Benedictine - Songea. Sherehe hii ilifanywa na Mkurugenzi wa Shule za St. Dominic Savio na Cagliero, Kamati ya Shule, Wafanyakazi wote pamoja w
Tarehe za Kufanya Interview Jumamosi 14/09/2024 Vituo Dodoma – Dodoma Secondary Dar Es Salaam – Msimbazi Centre Mbeya: Akili Star Uyole Mitihani itaendelea katika vituo vya shule husika kwa tarehe tajwa hapo chini Jumatatu 16/09/2024 Jumamosi 21/09
Kumbukumbu ya maeneo mbalimbali yaliyotumika katika shughuli za biashara ya utumwa kama Ngome Kongwe (Old Fort), House of Wonder, Forozani (Night Market), Katikati ya Mji (Jaws Centre), French - Catholic Church, Anglican Church, Freddie Mercury nk.