Hours : Mon To Sat - 08AM - 04PM, Sunday Closed

News

Event Image

NAFASI ZA MASOMO KWA KIDATO CHA KWANZA 2025

UPATIKANAJI WA FOMU

Dar Es Salaam: Msimbazi Centre Chumba Na. 5,19,22 

Simu: 0754 265446, 0787316039, 0789887776 

Dodoma: G5 Plaza Singida Bayi Road B-31 

Simu: 0754265446 

Mafinga Bookshop Sokoni 

Simu: 0762000047 

Makambako – Makongo Stationary 



Tarehe za Kufanya Interview Jumamosi 14/09/2024 Vituo Dodoma – Dodoma Secondary Dar Es Salaam – Msimbazi Centre Mbeya: Akili Star Uyole Mitihani itaendelea katika vituo vya shule husika kwa tarehe tajwa hapo chini Jumatatu 16/09/2024 Jumamosi 21/09

FOMU ZA KUJIUNGA HIZI HAPA JINI BOYA LINKI KUPAKUA FOMU

APPLICATION FORM SECONDARY - CAGRIELO GIRLS SECONDARY 2025
ST. DOMINIC SAVIO APPLICATION FORM KIGONZILE SECONDARY 2025

ST. DOMINIC SAVIO APPLICATION FORM TOSAMAGANGA SECONDARY 2025

Recent News